- Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua aliwapongeza wakazi wote waliojitokeza katika zoezi hilo la usafi wa mazingira uliofanywa na Umoja wa Vijana wa CCM katika kuadhimisha miaka 39 ya Chama Cha Mapinduzi.Aliwataka Vijana na vikundi vyote Wilaya ya Arusha kila mmoja kuheshimu kauli mbiu ya maadhimisho ya sherehe za CCM "Sasa Kazi ya Kujenga Nchi na Kujenga Chama" kwa vitendo.
- Naye Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Martin Munisi amewataka wana Vijana kushikamana na kumuunga mkono Ndg Dk John P. Magufuli Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,katika harakati za kila mtu kuwajibika. Pia amelaani kitendo cha baadhi ya Vijana wanaochukua muda wa wakati wa kazi kucheza pool table, badala ya kufanya kazi, kwani michezo yote hufanyika baada ya kazi.
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Martin Munisi,aliyeshika mikono,Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua aliyeshika kidevu na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Jamal Kihmji wakiwashukuru baadhi ya Wanachama na wananchi walioshiriki katika zoezi la usafi katika Makaburi ya Miembeni leo katika Kata ya Sokon I.
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Martin Munisi, akishiriki katika zoezi la kufanya usafi leo katika maeneo ya Makaburi ya Miembeni leo katika Kata ya Sokon I.
Bi Sophia Ally ,Mwenyekiti wa UWT Kata ya Sokon I, akishiriki katika zoezi la kufanya usafi leo katika maeneo ya Makaburi ya Miembeni leo katika Kata ya Sokon I.
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua aliwapongeza wakazi wote waliojitokeza katika zoezi hilo la usafi wa mazingira uliofanywa na Umoja wa Vijana wa CCM katika kuadhimisha miaka 39 ya Chama Cha Mapinduzi.Aliwataka Vijana na vikundi vyote Wilaya ya Arusha kila mmoja kuheshimu kauli mbiu ya maadhimisho ya sherehe za CCM "Sasa Kazi ya Kujenga Nchi na Kujenga Chama" kwa vitendo.Naye Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Martin Munisi amewataka wana Vijana kushikamana na kumuunga mkono Ndg Dk John P. Magufuli Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,katika harakati za kila mtu kuwajibika. Pia amelaani kitendo cha baadhi ya Vijana wanaochukua muda wa wakati wa kazi kucheza pool table, badala ya kufanya kazi, kwani michezo yote hufanyika baada ya kazi.
Katibu wa Hamasa wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Mutu Marijani, akishiriki katika zoezi la kufanya usafi leo katika maeneo ya Makaburi ya Miembeni leo katika Kata ya Sokon I.
Baadhi ya viongozi na wanachama wa CCM Mtaa wa Olevolosi, wakishiriki katika zoezi la kufanya usafi leo katika maeneo ya Makaburi ya Miembeni leo katika Kata ya Sokon I.
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Martin Munisi, akishiriki katika zoezi la kufanya usafi leo katika maeneo ya Makaburi ya Miembeni leo katika Kata ya Sokon I.
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Jamal Kihmji, akishiriki katika zoezi la kufanya usafi leo katika maeneo ya Makaburi ya Miembeni leo katika Kata ya Sokon I.
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Saidi, akishiriki katika zoezi la kufanya usafi leo katika maeneo ya Makaburi ya Miembeni leo katika Kata ya Sokon I.
"Sasa Kazi ya Kujenga Nchi na Kujenga Chama"