- Yapokea taarifa Kazi za Chama Cha Mapinduzi kwa Kipindi cha Januari - Machi 2016
- Tathimini ya Uchaguzi Mkuu - 2015
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soilel (katikati) Katibu wa CCM Wilaya,Ndg Feruzzy Bano na Mama Sifa Swai ,wakiwa katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua ,akisoma
- Taarifa ya Kazi za Chama Cha Mapinduzi kwa kipindi cha Januari - Machi 2016 na
- Tathmini ya Uchaguzi Mkuu 2016, kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha kilichoketi 04 Mei 2016
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soilel (kulia) na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha ,Ndg Feruzzy Bano ,wakiwa katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Wajumbe wa Mkutano wa Halamashauri Kuu ya Wilaya kutoka Kata ya Sekei (waliosimama) katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Sombetini,akiwasilisha hoja katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Wajumbe wa Mkutano wa Halamashauri Kuu ya Wilaya kutoka Kata ya Unga Ltd (waliosimama) katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kimandolu Ndg Abraham Joseph ,akiwasilisha hoja katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soilel (kulia) akisisitiza jambo kwa Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha.
Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha.
Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Wilaya kutoka Kata ya Daraja II (waliosimama) katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Katibu wa CCM Kata ya Engutoto Ndg Lotha akisoma taarifa ya Kata yake, katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Katibu wa CCM Kata ya Kaloleni, Bi Levina Kessy, akisoma taarifa ya Kata yake, katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Viongozi wa Kata ya Terati.
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Daraja II Mzee Dudu akiwasilisha hoja, katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Wilaya kutoka Kata ya Kaloleni (waliosimama) katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Katibu wa CCM Kata ya Murriet, Ndg Shemdoe, akisoma taarifa ya Kata yake, katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Katibu wa CCM Kata ya Lemara, Bi Happy Marandu, akisoma taarifa ya Kata yake, katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg F Bano akiwa na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Martin Munisi katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Katibu wa CCM Kata ya Ngarenaro, Bi Happy Marandu, akisoma taarifa ya Kata yake, katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Kaimu Katibu wa CCM Kata ya Sombetini, Ndg Mollel, akisoma taarifa ya Kata yake, katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Katibu wa CCM Kata ya Daraja II Ndg Kifumba Mkombozi akisoma taarifa ya Kata yake, katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Moivaro Ndg Philemon Mollel akiwasilisha hoja kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha.
Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya 07 Mei 2016.
Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi Ndg Jasper Kishumbua.
Press Release:
Tamko la Kikao cha Halmashauri Kuu ya Wilaya ya Arusha :
Kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk John Pombe Magufuli ,kwa utendaji wake mzuri wa kazi ,kwa kusimamia nidhamu,maadili na matumizi ya fedha za Serekali na raslimali za nchi. aidha kikao kinampongeza Mh Rais kwa kupambana na wahujumu uchumi , hasa wale wanaoficha sukari nchini.
Aidha Kikao cha Halmashauri Kuu kilielekeza katika kukijenga Chama kila Kata kuongeza Wanachama wapya wa CCM wasiopungua 100 (mia moja) kwa miezi mitatu na kuhakikisha kuwa vikao vinafanyika kwa kila ngazi kwa mujibu wa Katiba ya CCM 1977, toleo la 2012 na kuwakilisha taarifa Wilayani.
Halmashauri iliagiza kujaza nafasi zote zilizo wazi kwa ngazi zote, mapema iwezekanavyo.
Halmashauri Kuu ya Wilaya ilimtaka Mkuu wa Wilaya afahamishwe kuwa kila anapofanya ziara zenye utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi, wafahamishwe Viongozi wa Chama wa ngazi husika ili nao waweze kushiriki kama wasimamizi wa utekelezaji wa Ilani hiyo.
Katibu wa CCM Wilaya ,aliagizwa kumjulisha Mkuu wa Wilaya Arusha,kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi ya Julai 2015 - Desemba 2015.