Home » » Muendelezo wa ziara ya Mwenezi Jiji la Arusha,ya Ujenzi wa Chama Kata ya Engutoto

Muendelezo wa ziara ya Mwenezi Jiji la Arusha,ya Ujenzi wa Chama Kata ya Engutoto

Written By CCMdijitali on Friday, May 13, 2016 | May 13, 2016


Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiongea na viongozi waliofika katika Semina iliyofanyika katika ukumbi wa Saka Village Kata ya Engutoto
13 Mei 2016.
Ikiwa ni muendelezo wa ziara aliyoianza 18 Aprli 2016 mpaka 29 Mei 2015.
 Mwenyekiti wa CCM Kata ya Engutoto Ndg John S. Kihwele akimkaribisha  katika semina ya Kazi ya Kujenga Chama inayofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua aliyekaa kulia na kushoto ni Katibu wa CCM Kata Ndg Loth S. Kola
Baadhi ya Viongozi wa Kata ya Engutoto, katika kikao cha Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata na Matawi ,Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Matawi na baadhi ya Viongozi wa Mashina ya Wakereketwa,katika ziara ya Kujenga Chama iliyofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha katika Kata hiyo 13 Mei 2016.
Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha, Ndg Jasper Kishumbua
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link