Home » » Sukari yalalamikiwa Kata ya Sinoni kwa Mwenezi wa Jiji la Arusha

Sukari yalalamikiwa Kata ya Sinoni kwa Mwenezi wa Jiji la Arusha

Written By CCMdijitali on Sunday, May 15, 2016 | May 15, 2016

Mwenyekiti wa Kata ya Sinoni ,Bi Sophia akifungua kikao cha Semina ya marudio kwa Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata na Matawi ,Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Matawi na baadhi ya Viongozi wa Mashina ya Wakereketwa,katika ziara ya Kujenga Chama.
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiongea na viongozi waliofika katika Semina iliyofanyika katika viwanja vya CCM Kata ya Sinoni
14 Mei 2016.
Ikiwa na mara ya pili anarudi kwenye Kata hiyo kwa kuombwa na Wajumbe na ikiwa ni katika  muendelezo wa ziara aliyoianza 18 Aprli 2016 mpaka 29 Mei 2015.
Baadhi ya Viongozi wa Kata ya Sinoni, katika kikao cha Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata na Matawi ,Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Matawi na baadhi ya Viongozi wa Mashina ya Wakereketwa,katika ziara ya Kujenga Chama iliyofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha katika Kata hiyo 14 Mei 2016.
Anayemtizama mpiga picha ni Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa ,Bi Amina
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiongea na viongozi waliofika katika Semina iliyofanyika katika viwanja vya CCM Kata ya Sinoni
14 Mei 2016.
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiagana na viongozi waliohudhuria  Semina iliyofanyika katika viwanja vya CCM Kata ya Sinoni
14 Mei 2016.
Ikiwa na mara ya pili anarudi kwenye Kata hiyo kwa kuombwa na Wajumbe na ikiwa ni katika muendelezo wa ziara aliyoianza 18 Aprli 2016 mpaka 29 Mei 2015.

Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha, Ndg Jasper Kishumbua
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link