Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akisaini kitabu cha wageni katika viwanja vya Ofisi za CCM Kata ya Moshono 10 Mei 2016.
Ikiwa ni muendelezo wa ziara aliyoianza 18 Aprli 2016 mpaka 29 Mei 2015.
Ikiwa ni muendelezo wa ziara aliyoianza 18 Aprli 2016 mpaka 29 Mei 2015.
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiongea na viongozi waliofika katika Semina iliyofanyika katika viwanja vya Ofisi za CCM Kata ya Moshono
10 Mei 2016.
Ikiwa ni muendelezo wa ziara aliyoianza 18 Aprli 2016 mpaka 29 Mei 2015.
Ikiwa ni muendelezo wa ziara aliyoianza 18 Aprli 2016 mpaka 29 Mei 2015.
Kaimu Katibu wa Kata ya Moshono Ndg Meshack Laibon akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Kata Ndg Philimon Menjo katika semina ya Kazi ya Kujenga Chama inayofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua
Mwenyekiti wa CCM Kata Ndg Philimon Menjo akifungua Semina na kumkaribisha Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua katika semina ya Kazi ya Kujenga Chama inayofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua
Baadhi ya Viongozi wa Kata ya Moshono, katika kikao cha Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata na Matawi ,Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Matawi na baadhi ya Viongozi wa Mashina ya Wakereketwa,katika ziara ya Kujenga Chama iliyofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha katika Kata hiyo 10 Mei 2016.
Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha, Ndg Jasper Kishumbua