Harry
Kane wa England akifumua shuti wakati timu yake ikimenyana na Russia
katika mchezo wa kundi B michuano ya EURO2016 mjini Marseille nchini Ufaransa usiku huu Juni 11, 2016.
Hadi timu zinakwenda
mapumzikoni matokeo yalikuwa sare ya 0-0. Kipindi cha pili England
ilipata bao kwa njia ya mkwaju wa adhabu ya moja kwa moja(free kick).
Katika dakika ya 91 Russia ilisawazisha bao kupitia nahodha wake.
Mashabiki wa England wakihanikiza
uwanja wa Stade De France wakati timu yao ikimenyana na Russia katika
mchezo wa kundi B michuano ya kombe la Ulaya Euro 2016 kwenye mjiji
Marsellie nchini Ufaransa usiku huu Juni 11, 2016
Mchezaji wa England Raheem
Sterling(kulia), akijaribu kuwatoka walinzi wa Russia, kwenye pambano la
michuano ya kombe la Ulaya EURO2016.