Katibu wa CCM Wilaya ya Monduli Ndg Elisante Kimaro (kushoto) akiwa na Katibu wa CCM Kata ya Kati ya Jijini Arusha Ndg Ally Meku katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Jiji la Arusha Ndg J. Kishumbua ,katika ziara ya kushtukizia kujifunza mambo mbalimbali na kubadilishana mawazo .
Katibu wa CCM Wilaya ya Monduli Ndg Elisante Kimaro (kulia) akiwa na Katibu Msaidizi wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Elia Ngowi katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Jiji la Arusha Ndg J. Kishumbua ,katika ziara ya kushtukizia kujifunza mambo mbalimbali na kubadilishana mawazo .
Kama inavyoonekana katika picha .....mambo poaaaaaaa "Hapa Kazi Tu "
Wakionekana na nyuso za furaha, mara baada ya mazungumzo yaliyochukua takriban masaa matatu ni Katibu wa CCM Wilaya ya Monduli Ndg Elisante Kimaro (kulia) akiwa na Katibu Msaidizi wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Elia Ngowi katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Jiji la Arusha Ndg J. Kishumbua ,katika ziara ya kushtukizia kujifunza mambo mbalimbali na kubadilishana mawazo.