Makatibu wa UVCCM wakiwa katika Ofisi ya Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Arusha.
Kushoto ni Katibu mpya wa UVCCM Wilaya ya Arumeru Ndg Hussein Malipula aliyehamishwa kutoka kutoka Wilaya ya Ulanga,Mkoani Morogoro na kulia ni aliyekuwa Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Jamal Khimji anayehamishiwa Wilaya ya Dodoma.