UNIVERSAL
AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Marekani watauza
kwa mnada wa hadhara Magari, Fork Lift, Generator
na Funicha za nyumbani tarehe 16 Julai, 2016 Jumamosi saa 4.00 asubuhi. Mnada
utafanyika Golden Resort Sinza, Lion hotel Street, Dar es salaam
MAGARI, FORK LIFT, GENERATOR zitaanza kuuzwa kuanzia saa 6.00 mchana:
Idadi
|
Aina
|
Model
|
Mwaka
|
Ushuru
|
1
|
Toyota L/cruiser Hard Top S/Wagon
|
1HZ Diesel Engine
|
2009
|
Bado
|
4
|
Toyota L/Cruiser V8 GX S/Wagon
|
JTMHV09 Diesel Engine
|
2010/2008/ 2007
|
Bado
|
2
|
Land Rover Double cabin
|
130 Injection Diesel Engine
|
2008
|
Bado
|
1
|
Nissan Civilian Min Bus 26 seats
|
TD42 Diesel Engine
|
2008
|
Bado
|
1
|
Hino Truck water tank Bowser 5,000 Lts
|
TK-AF2 Diesel
|
2009
|
Bado
|
3
|
Ford Range double cabin
|
WLAT Diesel Engine
|
2011
|
Bado
|
3
|
Fork Lift Komatsu and Hyster
|
4 na 2 Tons Diesel Engine 1 Ton Umeme
|
Bado
|
|
5
|
Generator KVA 40-60KVA
|
Perkin engine Diesel
|
2001
|
Bado
|
5
|
Container tupu
|
20 na 40 futi
|
Bado
|
Fenicha na Computer zitaanza kuuzwa kuanzia saa 4.00 asubuhi: Sofa sets, Recliner, Wing
chairs, Lounge chairs, Chest drawer, Dressers, Mirror, Coffee table, Book case,
Meza za chakula/Viti, Meza za ofisi/Viti, Carpet, Vitanda/Magodoro, Freezer, Washer,
Dryer, TV, Music system, Computer set, Tyres service machine, Steel pipes,
Vifaa mbalimbali vya ujenzi na vingine vingi.
Mali zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort Sinza,Lion Street tarehe 13 hadi 15 Julai,
2016 kuanzia saa 4.00. asubuhi mpaka saa 11.00 jioni.
MASHARTI YA MNADA:
- Mnunuzi wa Fanicha na Containa atatakiwa kulipa malipo yote kwa keshia (cashier). Na mnunuzi wa Gari na Generator atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 4 za kazi mwisho wa kulipa tarehe 21 Julai 2016, saa 10.00 jioni Ubalozi wa Marekani. ukishindwa kulipa kwa muda huo gari au Generator litauzwa kwa mshindi mwingine aliyefata na dhamana haitarudishwa.
- Mali zote zitauzwa kama zilivyo bila dhamana.
- Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru na kodi zingine zote.
- Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa baada ya kulipa malipo yote pamoja na kodi
- Kila mtu
atatakiwa kuwa na bid namba itakayo patikana getini,
Kwa maelezo zaidi waone:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE
PLOT NO. 5 “E” LION STREET SINZA
CELL NO: 0754 284 926, 0757 284 926 E-mail:
universalauction@hotmail.com
DAR ES SALAAM.