Home »
ARUSHA
» Mwenezi Jijini Arusha,atembelewa na Mtafiti wa Taasisi ya East African Research Capacity Building Foundation (EARCDF)
Mwenezi Jijini Arusha,atembelewa na Mtafiti wa Taasisi ya East African Research Capacity Building Foundation (EARCDF)
Written By CCMdijitali on Friday, July 8, 2016 | July 08, 2016
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM ,Jijini Arusha, Ndg Jasper Kishumbua atembelewa na Mtafiti wa taasisi ya East African Reseach Capacity Building Foundation (EARCDF) ya Jijini Arusha, Ndg Johansen Rutahiwa.
Mtafiti wa taasisi ya East African Reseach Capacity Building Foundation (EARCDF) ya Jijini Arusha, Ndg Johansen Rutahiwa akiwa katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi,Jijini Arusha leo.
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM ,Jijini Arusha, Ndg Jasper Kishumbua akiteta jambo na Mtafiti wa taasisi ya East African Reseach Capacity Building Foundation (EARCDF) ya Jijini Arusha, Ndg Johansen Rutahiwa.
Mtafiti wa taasisi ya East African Reseach Capacity Building Foundation (EARCDF) ya Jijini Arusha, Ndg Johansen Rutahiwa akipokea tuzo ya kutambua mpango alioutoa katika Kongomano lililohusu Mchango wa Asasi za Kiraia katika Utawala Bora wa Kiuchumi Duniani,lilofanyika Jijini Beijing,China.
Tuzo hiyo alikabidhiwa na Kiongozi wa Chama Cha Kikomunisti cha China, Ndg Zhui Rui kwa niaba ya Rais wa China.
Tuzo hiyo iliandaliwa na Idara ya ya Nje ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China - IDCPC
Kada
Labels:
ARUSHA