Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli akipokea hati ya Shukurani kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Rollingstone - ECAYFA Ndg Ally Mtumwa kwa kuchangia na kuwezesha mashindano ya 15th Edition International Youth Football Tournament yaliyofanyika Jijini Arusha 29 June - 09 Julai 2016. Wengine katika picha ni Wajumbe wa Kamati ya Siasa CCM Wilaya ya Arusha.
Hati ya Shukurani.
Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha,wakiwa katika kikao Maalumu kilichoketi leo katika Ofisi ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha,kushoto ni Ndg Ally Mtumwa - Mwenyekiti wa Jumuiya ya WAZAZI Wilaya,Ndg Mussa Mkanga - Mjumbe,Bi Mary Kisaka-Mwenyekiti wa Jumuiya ya UWT na Ndg Harold Adamson.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli akipokea hati ya Shukurani kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Rollingstone - ECAYFA Ndg Ally Mtumwa kwa kuchangia na kuwezesha mashindano ya 15th Edition International Youth Football Tournament yaliyofanyika Jijini Arusha 29 June - 09 Julai 2016 ,kwa niaba ya Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Arusha ,akishudiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzi Bano.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli akiwa na Bi Mary Kisaka-Mwenyekiti wa Jumuiya ya UWT ,katika kikao Maalumu cha Kamti ya Siasa Wilaya ya Arusha.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli akipokea hati ya Shukurani kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Rollingstone - ECAYFA Ndg Ally Mtumwa kwa kuchangia na kuwezesha mashindano ya 15th Edition International Youth Football Tournament yaliyofanyika Jijini Arusha 29 June - 09 Julai 2016 ,kwa niaba ya Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Arusha ,akishudiwa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua.