Mheshimiwa William Ole Nasha (MB) Naibu Waziri wa Kilimo
Mifugo na Uvuvi na Msemaji Mkuu wa CCM Ndg Christopher Ole Sendeka wahudhuria
sherehe ya mila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha
leo nyumbani kwa Mhe Diwani Saimon.
Mheshimiwa William Ole Nasha (MB) Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi akisaini kitabu cha wageni ,mara baada ya kuwasili kwenye sherehe
ya mila zilizofanyika katika Kijiji cha
Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha leo
Msemaji Mkuu wa CCM Ndg Christopher Ole Sendekai akisaini kitabu cha wageni ,mara baada ya kuwasili kwenye sherehe ya mila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha leo
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha (MNEC) Ndg Maiko Lekule akisaini kitabu cha wageni ,mara baada ya kuwasili kwenye sherehe ya mila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha leo
Pichani ni (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha (MNEC) Ndg Maiko Lekule,Mheshimiwa William Ole Nasha (MB) Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi na Msemaji Mkuu wa CCM Ndg Christopher Ole Sendeka na Diwani wa Kata ya Kata ya Gelai Lumbwa ,wakitabasamu kwa furaha kwenye sherehe ya mila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha leo .
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria sherehe ya mila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha leo .
Msemaji Mkuu wa CCM Ndg Christopher Ole Sendeka akiteta jambo na Diwani wa Kata ya Kata ya Gelai Lumbwa , kwenye sherehe ya mila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha leo .
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha (MNEC) Ndg Maiko Lekule akitoa salamu, kwenye sherehe ya mila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha leo.
Msemaji Mkuu wa CCM Ndg Christopher Ole Sendeka akiongea na wananchi waliohuduria, kwenye sherehe ya mila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha leo .
Mheshimiwa William Ole Nasha (MB) Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi akiongea na umati wa wananchi waliohudhuria, kwenye sherehe ya mila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha leo .
Mheshimiwa William Ole Nasha (MB) Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi katika picha na Mama aliyempa zawadi ya shanga zilizotengenezwa kwa ustadi ili ampelekee mke wake , kwenye sherehe ya mila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa,
Mkoani Arusha leo
Mkoani Arusha leo
Msemaji Mkuu wa CCM Ndg Christopher Ole Sendeka,katika vazi la mila katika picha akiteta jambo na Mzee wa mila ya Kimasai mara baada ya kuvishwa vazi rasmi , kwenye sherehe ya mila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha leo
Naye Mchungaji aliyeendasha Ibada katika sherehe hizo naye alipewa vazi maalumu,kama ishara ya asante.
Diwani wa Kata ya Gelai Lumbwa ,akitoa neno la shukurani kwa viongozi na wananchi waliohudhuria sherehe hizo.