Waziri wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mheshimiwa Nape Nauye akiongea na Wananchi pamoja na Viongozi wa mila wa Jamii ya Kimasai kutoka maeneo mbali mbali nchini Tanzania,katika sherehe za uzinduzi wa Orng'eher kustaafisha (Vijana) Irikorianga,iliyofanyika leo katika Wilaya ya Siha,Mkoani Kilimanjaro leo.
Katika sherehe hizo Waziri wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mheshimiwa Nape Nauye alizindua jiwe la Msingi na sherehe za uzinduzi wa Orng'eher kustaafisha (Vijana) Irikorianga,iliyofanyika leo katika Wilaya ya Siha,Mkoani Kilimanjaro leo.
Katika sherehe hizo mgeni rasmi Mheshimiwa Nape Nauye Waziri wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, amelisifia kabila la Kimasai kwa kuwa na mila nzuri, ambazo ,dunia nzima inatakiwa kuja kujifunza, kwani wameweza kutunza mila zao,hata pamoja na misukosuko mingi duniani.Sherehe hizo zilihudhuriwa na Viongzi mbali mbali wa kiserekali na Vyama vya Siasa :
Mheshimiwa William Ole Nasha (MB) Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Mheshimiwa Said Mecky Sadick
Msemaji Mkuu wa CCM, Ndg Christopher Ole Sendeka
Mbunge wa Wilaya ya Siha Mh Dr Godwin Mollel
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Ndg Juma Iddi
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha (MNEC) Ndg Maiko Lekule
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Siha Ndugu Oscar Jeremia Temi
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ngorongoro Ndg Ibrahim Sakai
MNEC wa Wilaya ya Siha Ndg Meijo Laizer
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua
Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji Wilaya ya Ngorongoro Ndg Edward Maura
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ngorongoro Ndg Shutuka Olemokotio
Viongozi wa mila kutoka maeneo mbalimbali
Pia aliwaeleza kuwa Serekali inawaunga mkono na utunzaji mila zao,na ndiyo sababu ya yeye kuhudhuria sherehe hizo.
Mheshimiwa William Ole Nasha (MB) Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi akiongozana na Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji Wilaya ya Ngorongoro Ndg Edward Maura na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ngorongoro Ndg Shutuka Olemokotio wakiwasili katika eneo la sherehe za uzinduzi wa Orng'eher kustaafisha (Vijana) Irikorianga,iliyofanyika leo katika Wilaya ya Siha,Mkoani Kilimanjaro
Msemaji Mkuu wa CCM, Ndg Christopher Ole Sendeka,Mheshimiwa William Ole Nasha (MB) Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha (MNEC) Ndg Maiko Lekule, Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (hayupo pichani),Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji Wilaya ya Ngorongoro Ndg Edward Maura na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ngorongoro Ndg Shutuka Olemokotio wakiwasili katika eneo la sherehe za uzinduzi wa Orng'eher kustaafisha (Vijana) Irikorianga,iliyofanyika leo katika Wilaya ya Siha,Mkoani Kilimanjaro