MKUTANO WA KAZI WA MFUKO WA TASAF WAFANYIKA MKOANI ARUSHA
Written By CCMdijitali on Friday, August 19, 2016 | August 19, 2016
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Angellah Kairuki akiwaongoza Wakuu wa mikoa kutoka kushoto,Mhandisi Mathew Mtigumwe(Singida),Dk Joel Bendera(Manyara),Said Meck Sadick(Kilimanjaro)na Martine Shighela(Tanga).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Angellah Kairuki akifungua mkutano wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(Tafas)walioketi ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo,Ladislaus Mwamanga na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Tasaf ,Ladislaus Mwamanga akizungumza katika mkutano huo.
Wakuu wa wilaya kutoka mikoa mitano ya Singida ,Manyara,Arusha,Kilimanjaro na Tanga wakiwa kwenye mkutano wa Kazi wa kupata uelewa zaidi wa mfuko wa Tasaf.
Wakuu wa mikoa Mhandisi Mathew Mtigumwe wa Singida,Dk Joel Bendera wa Manyara(katikati) na Martine Shighela wa Tanga.
Mkuu wa wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha akizungumza jambo katika mkutano huo.
Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga,Godwini Gondwe akizungumza katika mkutano huo.
Mkuu wa wilaya ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro,Kippi Warioba akizungumza katika mkutano huo.
Related Articles
- VIONGOZI WANALOJUKUMU LA KUZINGATIA MATUMIZI YA TAKWIMU ZA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022.
- MFUMO UNGANISHI KUONDOA CHANGAMOTO SEKTA YA ARDHI- PINDA
- RC MONGELLA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 6 WA (ACFE) MWAKA 2023.
- TANZIA - ARUSHA
- WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA ATUA MKOANI ARUSHA.
- RC MONGELLA AAGIZA VITUO VYOTE VYA AFYA KUTUMIA MFUMO GotHoMIS
Labels:
ARUSHA