LA MWANZA KATIKA UWANJA WA FURAHISHA NA KUWEKA JIWE LA MSINGI
UJENZI WA DARAJA LA WAENDA KWA MIGUU LA FURAHISHA JIJINI MWANZA
AGOSTI 11,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza na maeneo ya kanda ya ziwa katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha eneo la Kirumba jijini Mwanza Agosti 11,2016