Azungumzia kuhusu:
Kero za Madarasa
Ulinzi katika Mashule
Usafi na Mazingira
Bodaboda
Kuweka akiba ya chakula
Wahalifu
Changamoto ya maji
Changamoto ya barabara mbovu
Mtaro wa maji machafu ya mvua yanayosabisha kero kwa wananchi
Atoa agizo la kuondolewa kwa kichaka kinachosababisha madhara
kwa Watoto wa kike.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Gabriel Fabian Daqarro akijibu kero mara baada ya kuzipokea kutoka kwa wananchi wa Kata ya Daraja II, katika Mkutano wa kujitambulisha na kusikiliza kero zao kwenye viwanja vya mwisho wa lami leo Septemba 20,2016.
Afisa Tarafa na Mtendaji wa Kata ya Daraja II Ndg Modestus Lupogo akimtambulisha Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha Ndg David Mwakiposa kwenye Mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Fabian Daqarro kujitambulisha na kusikiliza kero za wananchi uliofanyika katika viwanja vya mwisho wa lami leo Septemba 20,2016.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Fabian Daqarro akijitambulisha na kuongea na wananchi wa Kata ya Daraja II, katika Mkutano wa kujitambulisha na kusikiliza kero zao kwenye viwanja vya mwisho wa lami leo Septemba 20,2016.
Wataalamu wa Kata ya Daraja II wakifuatilia na kuchukua kumbukumbu kwenye Mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Fabian Daqarro kujitambulisha na kusikiliza kero za wananchi uliofanyika katika viwanja vya mwisho wa lami leo Septemba 20,2016.
Meza Kuu katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Gabriel Fabian Daqarro ,kushoto ni mwakilishi wa Mkurugenzi wa Jiji Ndg Frank Sanga (Afisa Tawala wa Jiji la Arusha),Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa wa Jamhuri Ndg Hussein Dudu baada ya Mkuu wa Wilaya ni Diwani wa Kata ya Daraja II Ndg Prosper Msofe na aliyeinama anaandika ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha Ndg David Mwakiposa kwenye Mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Fabian Daqarro kujitambulisha na kusikiliza kero za wananchi uliofanyika katika viwanja vya mwisho wa lami leo Septemba 20,2016.
Wananchi wakifurahia jambo wakati Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Gabriel Fabian Daqarro akitoa ufafanuzi wa kero kwenye Mkutano wa kujitambulisha na kusikiliza kero za wananchi uliofanyika katika viwanja vya mwisho wa lami leo Septemba 20,2016.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Gabriel Fabian Daqarro akijibu kero mara baada ya kuzipokea kutoka kwa wananchi wa Kata ya Daraja II, katika Mkutano wa kujitambulisha na kusikiliza kero zao kwenye viwanja vya mwisho wa lami leo Septemba 20,2016.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Gabriel Fabian Daqarro akipongezwa na Katibu wa CCM Kata ya Daraja II Ndg Kifumba ,mara baada ya kujibu kero za wananchi katika katika Mkutano wa kujitambulisha na kusikiliza kero zao kwenye viwanja vya mwisho wa lami leo Septemba 20,2016.
Diwani wa Kata ya Daraja II Ndg Prosper Msofe akijibu moja ya kero ,mara baada ya Mkuu wa Wilaya kumtaka atoe ufafanuzi.
Baadhi ya Wananchi wakitoa kero zao kwa Mkuu wa Wilaya leo kwenye Mkutano Mkutano wa Mkuu wa Wilaya kujitambulisha na kusikiliza kero zao kwenye viwanja vya mwisho wa lami leo Septemba 20,2016.

Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa wa Jamhuri Ndg Hussein Dudu (Mwenyekiti wa CCM Kata ya Daraja II) akijibu baadhi kero kutoka kwa Wananchi kama alivotakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha .
Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa wa Jamhuri Ndg Omar S. Dik akijibu baadhi kero kutoka kwa Wananchi kama alivotakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha .
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Gabriel Fabian Daqarro akipokea kipaza sauti kutoka kwa Diwani wa Kata ya Daraja II Ndg Prosper Msofe .
Mara baada ya Mkutano Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Gabriel Fabian Daqarro alipata nafasi ya kusalimiana na mamia ya wananchi waliohudhuria katika mkutano,kama inavyoonekana katika picha.
picha ya kumbukumbu kama inavyoonekana.
Baadhi ya Wananchi waomba kupata picha ya kumbukumbu kama inavyoonekana.
Mara ikafika muda wa kuagana kama inavyoonekana katika picha.
Picha na Jasper Kishumbua