Aongea na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Arusha
Akutana na Mwenyekiti wa CCM
Asalimiana na Wafanyakazi
Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, akiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzy Bano , 07 Sept 2016.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Sekretarieti ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Dk. Pindi Hazara Chana alipofanya ziara ya kushtukizia katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, akiwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Ndg Jasper Kishumbua,
07 Sept 2016.
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzy Bano, akitoa maelezo machache kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Sekretarieti ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Dk. Pindi Hazara Chana alipofanya ziara ya kushtukizia katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, akishuhudiwa na Katibu Msaidizi wa CCM Wilaya Ndg Elia Ngowi ,07 Sept 2016.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Sekretarieti ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Dk. Pindi Hazara Chana akitoa ufafanuzi kwa Sekretarieti ya CCM Wilaya juu ya mambo muhimu,ambayo Chama Cha Mapinduzi Taifa kimeyapanga na kuyatekeleza, ambapo kama Wilaya inapaswa kuyaunga mkono kwa kuyafanyia kazi kwa nguvu zote, alipofanya ziara ya ghafla katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, 07 Sept 2016.
Baadhi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Wialaya ya Arusha wakifurahia jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Sekretarieti ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Dk. Pindi Hazara Chana.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Sekretarieti ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Dk. Pindi Hazara Chana alipofanya ziara ya kushtukizia katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, akiwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli na Katibu Msaidizi wa CCM Wilaya Ndg Elia Ngowi,kushoto ni Katibu wa UWT Wilaya Bi Jane Nyari 07 Sept 2016.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Sekretarieti ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Dk. Pindi Hazara Chana akiagana na mtumishi wa CCM Wilaya Ndg Peter Kasela Bantu kwa jina maarufu "Majeshi" mara baada ya kikao na Sekretariet ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , 07 Sept 2016.
Katibu wa UWT Wilaya Bi Jane Nyari akiaagana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Sekretarieti ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Dk. Pindi Hazara Chana, mara baada ya kikao na Sekretariet ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , 07 Sept 2016
Katibu wa WAZAZI Wilaya ya Arusha Ndg Mohamed Mavallah akiaagana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Sekretarieti ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Dk. Pindi Hazara Chana, mara baada ya kikao na Sekretariet ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , 07 Sept 2016 | Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha,Jasper Kishumbua