Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabrieli Daqarro amefanya ziara katika kiwanda cha kinachojishughulisha na utengenezaji wa pombe aina Medo kilichopo kata ya sombetini nakuagiza watendaji wa serikali kufanya ukaguzi wa maeneo yao nakufanyia kazi changamoto zilizopo.
Akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa jiji la Arusha Athumani Kihamia amewaagiza viongozi hao kuacha kufanya kazi kwa mazoea nakutekeleza majukumu yao.
Hata hivyo amemtaka mmiliki wa kiwanda hicho Mhalo Martini kutekeleza maagizo aliyopewa na mkuu huyo ikiwemo kuboresha mazingira ya utengenezaji wa pombe hiyo katika kiwanda hicho.
Maji kutoka kiwandani.
Mkuu wa Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabrieli Daqarro akikagua jengo la kiwanda.
Mkuu wa Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabrieli Daqarro akiwa na Mkurugenzi wa jiji la Arusha Athumani Kihamia pamoja na Wataalamu wa Jiji na Kata.
Hali ya vifaa vya kuhifadhia .