Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma wakati alipodhuria katika Maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu Bila malipo sherehe zilizofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikaribishwa na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi Khadija Bakari mara alipowasili katika Maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu Bila malipo, sherehe zilizofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi mara alipowasili katika Maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu Bila malipo, sherehe zilizofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika sherehe zaa maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu Bila malipo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Nd,Mmanga Mjengo Mjawiri (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakiwa katika sherehe za miaka 52 ya Elimu bila Malipo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studum Mjini Unguja,mgen rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Walimu wa Skuli mbali mbali za Unguja na Pemba wakiwa katika sherehe za miaka 52 ya Elimu bila Malipo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studum Mjini Unguja,mgen rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria katika maadhimisho ya sherehe za miaka 52 ya Elimu bila Malipo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studum Mjini Unguja,mgen rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria katika maadhimisho ya sherehe za miaka 52 ya Elimu bila Malipo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studum Mjini Unguja,mgen rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Wanafunzi wa Skuli ya Mwanakwerekwe D,wakiwa katika maandamano ya sherehe za Elimu bila Malipo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studum Mjini Unguja,mgen rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),na kuhudhuriwa na wananchi mbali mbali.
Wanafunzi wa Skuli ya SOS wakiwa katika maandamano wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 52 ya Elimu Bila Malipo, zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Wanafunzi wanawake wa Skuli ya Ben Bella Secondary wakiwa katika maandano kusherehekea miaka 52 ya Elimu bila Malipo sherehe zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Wanafunzi wa Skuli za Mkoa wa Mjini Magharibi wakibeba bango lilalotoa ujumbe kumpa “heko Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa kuimarisha Elimu na Michezo”wakati wa maandamano ya kusherehekea maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu bila Malipo,sherehe zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Wanafunzi wa Skuli za Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika maandano kusherehekea miaka 52 ya Elimu bila Malipo sherehe zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.
NA TAKDIR ALI. MAELEZO ZANZIBAR.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Muhammed Shein ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kuifanyia ukaguzi mitaala ya Skuli za binafsi ili kwenda sambamba na mitaala ya Skuli za Serikali.
Hayo ameyasema leo huko Uwanja wa Amani mjini Zanzibar wakati akihutubia wananchi katika maadhimisho ya miaka 52 ya elimu bila malipo.
Amesma mitala ya skuli za binafsi haiendi sambamba na ile ya serikali kitu ambacho hakipaswi ,hivyo amesema ikohaja ya Wizara ya elimu namafunzo ya amali Zanzibar kushirikiana katika kuangalia mitaala miataala hiyo ya ufundishaji ili iende sambamba na skuli za serikali.
Aidha amesema mashirikiano ya pamoja yapande hizo mbili yatapelekea wanafunzi kufanya vizuri katika mitihani yao ya majaribio na ile ya mwisho wa mwaka.
Dkt. Shein amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imejipanga vyema katika kuhakikisha kwamba inakabiliana na changamoto mbalmbali zinazoikabili sekta ya elimu hapa Zanzibar ili kuhakikisha inafikia dhana ya Raisi wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume alioitangaza Elimu bila malipo mwaka 1964.
Akiwazungumzia Wazazi juu ya suala zima laelimu kumpatia mtotoDkt. Ali Mohamed Shein amesema suala la elimu kwa mtoto hali mlazimu mwalimu pekeyake bali ni jambo la wote ambalo linahitaji ushirikiano kati ya mwalimu wazazi na wanafunzi.
Amesema wasiachiwe walimu pekeyao kufundisha na kuwaongoza bali wae na ushirikiano wa pamoja.
Pamoja na hayo Dkt.Ali Mohamed Shein alisema kabla ya Mapinduzi ya Mwaka1964 ilimu Zanzibar ilikuwa ikitolewa kwa misingi ya ubaguzi kituambacho kiliwafanya wonyonge kuikosa hakihiyo ya elimu kitu ambacho kwa sasa Zanzibar imepiga hatua kubwa mbele kwani upatikanaji wa elimu ni wakila mmoja ambae kafikia umri wa kwenda skuli.
Ameseama haki hiyo sasa imefikiwa kukua nakwasaa kua na vyuo vikuu vitatu kwa ujumla wake mbapo kwa kiasi ya miaka 20 iliopita Zanzibar haikuwa na hata chuo kikuu kimoja na kupelekea wanaotaka kusoma kuenda nje ya Tanzania.
IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR.