Home » » Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amtembelea Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amtembelea Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Written By CCMdijitali on Monday, October 24, 2016 | October 24, 2016

 Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa kushoto akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Nyumbani kwake Mtaa wa Osterbay Jijini Dar es salaam.

Viongozi hao ambao ndio watendaji Wakuu wa Serikali za SMT na SMZ wamekuwa na utaratibu wa kukutana kila baada ya kipindi kubadilishana mawazo ya kiutendaji baina ya pande hizo mbili za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mratibu Mkuu wa Ofisi ya Uratibu wa Shughuli za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar {SMZ} Dar-es-salaam Ndugu Issa Mlingoti Ali.
Picha na – OMPR – ZNZ.


Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link