⇑WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa (kushoto) ni Msemaji wa CCM Taifa Ndg Christopher Ole Sendeka na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Lekule.⇓
Baadhi ya Wajumbe wa kamati za Siasa Mkoa na Wilaya ya Arusha.
Msemaji wa CCM Taifa Ndg Christopher Ole Sendeka akimlaki WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa,kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni.
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Arusha Ndg Shaabani Mdoe akisalimiana na Mhe WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa,kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni.
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Arusha Bi Flora Zelote akisalimiana na WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa,kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni.
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzy Bano akisalimiana na WAZIRI Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa,kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni.
⇑Katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha akimlaki WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa,kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni.⇓
⇓
(Kulia) Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Arusha Ndg Shaaban Mdoe ,akisikiliza kwa makini.
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wajumbe wa Kamati za Siasa za Chama Cha Mapinduzi Mkoa na Wilaya ya Arusha na Makatibu wa Jumuiya za CCM (UWT,UVCCM na WAZAZI) Mkoa wa Arusha kwenye Ofisi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Lekule Laizer (aliyeko kulia kwenye picha) na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa Ndg Mrisho Gambo.
(Kushoto) Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Arusha Ndg Shaaban Mdoe na Ndg Peter Kasela kwa jina maarufu MAJESHI.
Picha ya pamoja ya viongozi wa CCM Mkoa na Wilaya ya Arusha,wakiwa na msemaji wa CCM Taifa Ndg Christopher Ole Sendeka,katika viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoani Arusha.
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzy Bano akiteta jambo na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Arusha Bi Flora Zelote kwenye maeneo ya viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoani Arusha.
Msemaji wa CCM Taifa Ndg Christopher Ole Sendeka akiwa na baadhi ya vijana waliofika kuongea naye katika vya viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoani Arusha.
Msemaji wa CCM Taifa Ndg Christopher Ole Sendeka akiwa na Katibu wa Siasa na Uenezi Ndg Jasper Kishumbua katika vya viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoani Arusha.
Kutoka kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Abdallah Maghembe ,Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Bi Catherine Magige na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Arusha Bi Flora Zelote wakionekana wenye nyuso za furaha,wakati WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa akiongea nao.
Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Arusha - Jasper Kishumbua