Home » » Ligi ya timu za Vijana kwa ajili ya mashindano ya Neema Youth Cup kundi A,Jijini Arusha

Ligi ya timu za Vijana kwa ajili ya mashindano ya Neema Youth Cup kundi A,Jijini Arusha

Written By CCMdijitali on Thursday, February 2, 2017 | February 02, 2017

Vijana katika kuendelea kuadhimisha sherehe za kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.
Golikipa wa timu ya Veterani ya Unga Ltd akiruka kuwania mpira uliopigwa kutoka kwa mchezaji wa timu ya Mairiva kutoka Sakina.


Wachezaji wa wa Timu ya Veteran kutoka Unga Ltd wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa CCM wa Wilaya ya Arusha ambao wanaratibu michezo hiyo Katibu wa UVCCM Wilaya Ndg Iddy Ntonga (mwenye tshirt ya bluu),Katibu wa WAZAZI Wilaya ya Arusha Mwalimu Mavallah Mohamed (wa pili kutoka kulia) na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (hayupo pichani) katika viwanja vya Shule Msingi Ngarenaro.

Vijana wakitoana jasho kama inavyonekana katika picha Mairiva v/s Veteran.

Wachezaji wa wa Timu ya  Mairiva kutoka Kata ya Sakina wakipata mawaidha kutoka kwa kocha  na  viongozi wa CCM wa Wilaya ya Arusha ambao wanaratibu michezo hiyo Katibu wa UVCCM Wilaya Ndg Iddy Ntonga (mwenye tshirt ya bluu),Katibu wa WAZAZI Wilaya ya Arusha Mwalimu Mavallah Mohamed  na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (hayupo pichani) katika viwanja vya Shule Msingi Ngarenaro.

Umati wa wapenzi na Mashabiki wa mpira wa miguu wakifuatilia mechi hiyo.


Namba 13 mgongoni ni Katibu wa UVCCM Wilaya Ndg Iddy Ntonga (mwenye tshirt ya bluu),kushoto kwake ni Katibu wa WAZAZI Wilaya ya Arusha Mwalimu Mavallah Mohamed  na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (hayupo pichani) katika viwanja vya Shule Msingi Ngarenaro.


Vuta nikuvute kama ilivyo ada ya kutaka ushindi.

Mwamuzi wa mchezo huo akionekana kuudhibiti mchezo huo ili kuleta burudani kwa wachezaji na mashabiki.


Hapa ilikuwa ni mshikemshike katika lango la timu ya Mairiva huku mchezaji wa timu ya Veterani aliyenyanyua mikono ,baada kosa kosa goli la wazi.
 
Golikipa wa timu ya Mairiva katika hekaheka ya kupangua mipira iliyokuwa inaelekezwa langoni kwake.






Mmoja wa mchezaji wa timu ya Veterani akionyesha umahiri wake katika kuutuliza mpira.



Mchezaji wa timu ya Mairiva  akionyesha umahiri wake katika kuutuliza mpira.

Vuta nikuvute.


Mlima Meru kama unavyoonekana kutoka katika Uwanja wa Shule ya Msingi Ngarenaro.

Vijana wakipeana mawaidha baada purukushani katika mechi hiyo.











Wachezaji wa wa Timu ya  Mairiva kutoka Kata ya Sakina wakipata mawaidha kutoka kwa kocha  na  viongozi wa CCM wa Wilaya ya Arusha ambao wanaratibu michezo hiyo Katibu wa UVCCM Wilaya Ndg Iddy Ntonga (mwenye tshirt ya bluu),Katibu wa WAZAZI Wilaya ya Arusha Mwalimu Mavallah Mohamed  na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (hayupo pichani) katika viwanja vya Shule Msingi Ngarenaro.
Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua - 0784 463332


Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link