Home »
KITAIFA
» RC TABORA APOKEA WANAFUNZI WA DARASA LA AWALI NA LA KWANZA WILAYANI NZEGA
RC TABORA APOKEA WANAFUNZI WA DARASA LA AWALI NA LA KWANZA WILAYANI NZEGA
|
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Batilda Burian leo tarehe 17/01/2022
akiwasalimu wanafunzi wa Shule ya Msingi Isagenhe alipofanya ziara
Wilayani Nzega kuona hali ya uandikishaji wa wanafunzi wa darasa la
kwanza na awali. |