Home » » Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu leo ameapishwa kuwa Naibu Spika wa Bunge - DODODMA

Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu leo ameapishwa kuwa Naibu Spika wa Bunge - DODODMA

Written By CCMdijitali on Friday, February 11, 2022 | February 11, 2022

Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson  amemwapisha Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu kuwa Naibu Spika leo tarehe 11 Februari 2022 Ijumaa Bungeni Dodoma , baada ya kuchaguliwa kwa kura 296 sawa na 98.35% ya kura 301 zilizopigwa. Kura 3 za hapana na 2 zikiharibika.
 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akimpongeza Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu mara baada ya kuapishwa kuwa Naibu Spik,Bungeni Dodoma leo 11 Februari 2022


Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link