Home »
KIMATAIFA
» Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aendelea na Ziara yake ya kikazi Nchini Ufaransa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aendelea na Ziara yake ya kikazi Nchini Ufaransa
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akishuhudia utiaji saini wa mikataba ya ushirikiano
katika sekta mbalimbali kati ya Tanzania na Ufaransa iliyosainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula pamoja na Waziri wa Biashara wa
Ufaransa Frank Reicster katika mji wa Brest nchini Ufaransa leo tarehe 11
Februari, 2022 |

Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo
na Waziri wa Biashara wa Ufaransa Frank Reicster
kabla ya kushuhudia utiaji saini wa mikataba ya ushirikiano katika sekta
mbalimbali katika Tanzania na Ufaransa katika mji wa Brest nchini Ufaransa leo
tarehe 11 Februari, 2022 |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akikagua kazi mbalimbali za ujenzi wa vyombo vya usafiri wa majini ikiwemo boti
za uokoaji na doria katika mji wa Brest nchini Ufaransa leo

Samia Suluhu Hassan akishuhudia Waziri wa
Fedha na Mipango Mhe. Mwigulu Nchemba akiweka saini moja ya mikataba ya
ushirikiano wa kimaendeleo katika Nyanja mbalimbali kati ya Tanzania na Ufaransa
iliyowakilishwa na Waziri wake wa
Biashara Frank Reicster katika mji wa Brest nchini Ufaransa leo tarehe 11
Februari, 2022.
|
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akishuhudia utiaji saini wa mikataba ya ushirikiano
katika sekta mbalimbali kati ya Tanzania na Ufaransa |