Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Eng. Godfrey
Kasekenya, akikagua Daraja la chuma la Bubutole - DODOMA |
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Eng. Godfrey Kasekenya, akagua Daraja la chuma la Bubutole lenye urefu wa mita 60 lililofungwa na Wakala wa Barabara (TANROADS), mara baada ya daraja la zamani kukatika na kufunga mawasiliano ya barabara inayoanzia Zamahero – Kinyamshindo (km 124.6), katika Wilaya ya Chemba, mkoani Dodoma