Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Geita alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo tarehe 22 Februari, 2022 |
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Mkoani Geita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Geita alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo tarehe 22 Februari, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wasanii wa vikundi mbalimbali vya ngoma za asili alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo tarehe 22 Februari, 2022