Home »
KITAIFA
» Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aweka Jiwe la Msingi....
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aweka Jiwe la Msingi....
Ujenzi wa Barabara ya
Mzunguko wa Nje katika Jiji la Dodoma ya kutoka
Ihumwa-Matumbulu-Nala-Ihumwa Km 112.3 Jijini Dodoma
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi katika Sherehe za uwekaji wa
jiwe la msingi Ujenzi wa Barabara ya mzunguko wa nje katika mji wa Dodoma
itakayotoka Ihumwa-Matumbulu-Nala-Veyula-Ihumwa Kilometa 112.3 katika Sherehe
zilizofanyika katika eneo la Veyula Jijini Dodoma leo tarehe 09 Februari, 2022.