Home »
BIASHARA
» Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aweka Jiwe la Msingi Ujenzi
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aweka Jiwe la Msingi Ujenzi
wa
Barabara ya Mzunguko wa Nje katika Jiji la Dodoma ya kutoka
Ihumwa-Matumbulu-Nala-Ihumwa Km 112.3 Jijini Dodoma
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi
Adesina kushoto, wakiondoa kitambaa kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Barabara ya mzunguko wa
nje katika mji wa Dodoma itakayotoka Ihumwa-Matumbulu-Nala-Veyula-Ihumwa
Kilometa 112.3 Hafla hiyo imefanyika kwenye Sherehe zilizofanyika leo tarehe 09
Februari, 2022 katika eneo la Veyula Jijini Dodoma.