#Kaziiendelee
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akishiriki kikao cha pamoja cha wajumbe wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda, watendaji kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Uganda na Wenyeviti wa kamati za Bajeti, Hesabu za Serikali, Hesabu za Serikali za Mitaa na Uwekezaji wa Mitaji ya umma Bunge la Tanzania kilichofanyika leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Kaulimbiu | Desemba 09,2016“Tuunge mkono jitihada za kupinga rushwa na ufisadi na tuimarishe uchumi wa viwanda kwa maendeleo yetu.”
Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara