Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ameongozana na mtoto wa Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Makongoro Nyerere |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ameongozana na mtoto wa Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Makongoro Nyerere mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Butiama leo tarehe 07 Februari, 2022 kwa ajili ya kuzuru kaburi lake alipokuwa katika ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Mara.