#RepostInstagram
///@ummymwalimu: Namshukuru Mungu kurudi @wizara_afyatz .Ni fursa kwangu na wenzangu kukamilisha yale ambayo tulipanga kuyafanya ikiwemo kusogeza huduma za matibabu ya kibingwa (specialized healthcare services) na huduma bobezi za ubingwa (super specialised healthcare services) karibu na wananchi. Ndoto yetu ni kuifanya Mwl Nyerere Memorial Hospital, Mara kutoa huduma bobezi za ubingwa za mifupa na Ajali kwa ukanda wa Ziwa #AfyaKwanza #TunaboreshaAfya @wizara_afyatz