Kikao Kazi cha Wakuu wa Mikoa Kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi.Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa wa Tanzania Bara mara baada ya kuhitimisha Kikao Kazi cha Wakuu wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi kilichofanyika tarehe 8 Februari, 2022 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa wa Tanzania Bara mara baada ya kuhitimisha Kikao Kazi cha Wakuu wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi kilichofanyika tarehe 8 Februari, 2022 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.