Naibu waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Ridhiwani Kikwete(MB) awesatisitizia watumishi wote wa serikali
kutambua majukumu yao ili kumsaidia Rais majukumu aliyo watuma ya kutatua kero za wananchi.
Vilevile Mhe Ridhiwani Kikwete ameomba tuendelee kumuunga mkono Mama yetu, Rais wa JMT Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kusudi jitihada zake kuwatumikia wananchi na kuendele kujenga nchi zizidi kuonekana. #RK #kaziinaendele #ardhimwendomdundo