Waziri wa Kilimo,Mhe. Hussein Bashe, leo tarehe 9 Februari,2022
amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Benki ya NMB katika
ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Wizara ya Kilimo Jijini Dodoma,
mazungumzo yaliyojikita katika namna ya kushirikiana na Benki hiyo
kukuza sekta ya Kilimo nchini.
Timu ya Benki ya NMB imeongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Bi Ruth Zaipuna
National Bank of Tanzania
Timu ya Benki ya NMB imeongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Bi Ruth Zaipuna
National Bank of Tanzania
📸Waziri wa Kilimo,Mhe. Hussein Bashe (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Bi Ruth Zaipuna |