Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akiwa na Naibu Waziri wa Nyumba, Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete walipotembelea Hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu J.K Nyerere iliyoko mkoani Mara ili kujionea hali ya utoaji wa huduma za afya zilizoanza pamoja na ujenzi wa miundombinu mbalimbali unaoendelea. Katika ziara hiyo Mawaziri hao waliongozana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe.
Leo tarehe 6 Februari, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutembelea hospitali hiyo.
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akiwa na Naibu Waziri wa Nyumba, Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete walipotembelea Hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu J.K Nyerere iliyoko mkoani Mara |