|
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman
Kinana akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dk. Donald J. Wright leo katika Ofisi Ndogo
za CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam. (Picha na Fahad Siraji)

Kinana akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dk. Donald J. Wright (kushoto) leo katika
Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam. (Picha na
Fahad Siraji)

Kinana akiagana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dk. Donald J. Wright (kushoto) leo katika
Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam. (Picha na
Fahad Siraji)
|
|
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman
Kinana akimuaga Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dk. Donald J. Wright) leo katika Ofisi Ndogo
za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam. (Picha na Fahad Siraji)

KINANA
AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM-Bara), Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na Balozi wa Marekani
nchini, Donald Wright, jijini Dar es Salaam ambapo wamezungumza mambo
mbalimbali ikiwemo kuimarisha uhusiano baina ya Tanzania na nchi ya Marekani.
Akizungumza muda mfupi baada ya balozi huyo
kuondoka Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Aprili 11 2022, Kanali Mstaafu Kinana alisema mazungumzo hayo yalikuwa ya
kawaida katika kuimarisha uhusiano baina ya Tanzania na nchi hiyo.
“Mazungumzo yetu yalikuwa ya kawaida,
tumezungumzia namna ya kuimarisha uhusiano pamoja na ustawi wa wananchi,”
alisema Kanali Kinana.
Alisema miongoni mwa maeneo waliyoyagusia
katika mazungumzo yao ni pamoja na kuimarisha huduma za kijamii ikiwamo afya na
utoaji haki kupitia mifumo mbalimbali.
Viongozi hao wamekutana zikiwa siku chache
tangu balozi huyo alipokutana na Rais Samia Suluhu Hassan.