Waziri Ummy amebainisha kauli hiyo leo wilayani Chato mkoani Geita wakati akikagua maandalizi ya kuweza kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani anayetarajia kutembelea Hospitali hiyo siku ya Jumamosi Tarehe 15 Oktoba, Mwaka huu.
Home »
» Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato imepokea bilioni 18 kwa ajili ya vifaa tiba vya kisasa kama CT - scan, MRI, Thioroscope na ECHO
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato imepokea bilioni 18 kwa ajili ya vifaa tiba vya kisasa kama CT - scan, MRI, Thioroscope na ECHO
Written By CCMdijitali on Thursday, October 13, 2022 | October 13, 2022
Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato imepokea bilioni 18 kwa ajili ya vifaa tiba vya kisasa kama CT - scan, MRI, Thioroscope na ECHO kwa ajili ya uboreshaji huduma za afya kanda ya Ziwa.