Home » » IGP WAMBURA ATEMBELEA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA

IGP WAMBURA ATEMBELEA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA

Written By CCMdijitali on Thursday, October 20, 2022 | October 20, 2022

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura, 19 Oktoba 2022 ametembelea ofisi za ubalozi wa Tanzania uliopo nchini India na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania, Mhe. Anisa Mbega na kujadiliana mambo mbalimbali ikiwemo kutafuta fursa mbalimbali nchini humo hususani za kimasomo ili kuwezesha askari Polisi kufanya kazi kwa umahiri zaidi ikiwemo matumizi ya Sayansi na tekinolojia katika kuzuia uhalifu na wahalifu.



Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link