📍Kaskazini Unguja, Zanzibar. Oktoba 21, 2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt Hussein Ali Mwinyi, pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Alhaj Othman Masoud Othman, wakimjulia hali Rais Mstaafu wa Awamu ya Tano ya Zanzibar, Alhaj Dokta Salmin Amour Juma nyumbani kwake Mkwajuni Kidombo Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Tarehe 21 Oktoba, 2022.
#KaziIendelee
#ZanzibarYaMwinyi
#YajayoNiNeemaTupuZNZ