Wajumbe na Viongozi wametimiza haki yao Kikatiba ya kuomba kuchaguliwa na ya kuchagua Viongozi wao, kwa hiari, Uhuru na Uwazi.
Demokrasia ya wengi wape imefanya kazi yake, na hivyo kurudisha Imani kwao.
#Kaziiendelee
Kaulimbiu | Desemba 09,2016“Tuunge mkono jitihada za kupinga rushwa na ufisadi na tuimarishe uchumi wa viwanda kwa maendeleo yetu.”
Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara