Home » » ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM WILAYA YA KIGAMBONI.

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM WILAYA YA KIGAMBONI.

Written By CCMdijitali on Friday, October 21, 2022 | October 21, 2022

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo atakuwa na ziara katika wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam kesho tarehe 22 Oktoba 2022 kuanzia saa 2:00 asubuhi, Somangira ofisi ya CCM wilaya ya Kigamboni.

Katibu Mkuu Chongolo ataweka jiwe la msingi Ujenzi wa ofisi ya CCM wilaya ya Kigamboni na nyumba ya Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam.

#CCMApp
#CCMImara
#ZiraYaKMChongolo


Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link