Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe.Raymond Mwangwala amewatembelea na kuwajulia hali wahanga wa ajali ya basi la Loliondo katika Hospitali ya WASSO iliyotokea tarehe 04 Octoba 2023 Eneo la Karibu na Kambi ya Mchina ya Kusaga Kokoto.Basi hilo lilikuwa Safarini kutoka Arusha Kwenda Loliondo kabla ya Kupata ajali.