|
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, (FAO), Dkt. Qu Dongyu walipofanya mazungumzo yao kwenye makao makuu ya shirika hilo , Rome nchini Italia Oktoba 16, 2023. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, (FAO), Dkt. Qu Dongyu baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye makao makuu ya shirika hilo , Rome nchini Italia Oktyoba 16, 2023. Mheshimiwa Majaliwa anamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani linalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha wageni alipofanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa ya Chakula na Kilimo (FAO) Dkt. Qu Dongyu, kwenye makao makuu wa shirika hilo, Oktoba 18,2023 Rome, Italia. Mheshimiwa Majaliwa anamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani linalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha wageni alipofanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa ya Chakula na Kilimo (FAO) Dkt. Qu Dongyu, kwenye makao makuu wa shirika hilo, Oktoba 18,2023 Rome, Italia. Mheshimiwa Majaliwa anamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani linalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa ya Chakula na Kilimo (FAO) Dkt. Qu Dongyu, baada ya mazungumzo yao kwenye makao makuu wa shirika hilo, Oktoba 18,2023 Rome, Italia. Mheshimiwa Majaliwa anamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani linalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |