Home » » RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA RIPOTI

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA RIPOTI

Written By CCMdijitali on Thursday, October 12, 2023 | October 12, 2023

 RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA RIPOTI YA KAMATI YA KUTATHMINI UFANISI NA UTENDAJI KAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Balozi Hassan Simba Yahya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea Ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023

Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uwasilishwaji wa Ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar Mhe. Hussein Ali Mwinyi, Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba, Mwenyekiti wa Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika picha ya pamoja na Kamati hiyo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023
 
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link