Home » » WAZIRI MKUU MAJALIWA ZIARANI ARUSHA, KUZINDUA TUZO ZA UTALII DEC. 20, 2024.

WAZIRI MKUU MAJALIWA ZIARANI ARUSHA, KUZINDUA TUZO ZA UTALII DEC. 20, 2024.

Written By CCMdijitali on Friday, December 20, 2024 | December 20, 2024

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu ambapo leo Ijumaa Disemba 20, 2024, Mhe. Waziri Mkuu anatarajiwa kuzindua tuzo ya kwanza ya uhifadhi na utalii nchini.


Uzinduzi wa tuzo hizo zilizoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii unafanyika Kwenye Hoteli ya Mount Meru, tuzo hizo zikilenga kutambua mchango wa watu na Taasisi binafsi zilizochangia mafanikio ya sekta hiyo muhimu kwa uchumi wa Arusha na Tanzania kwa Ujumla.







Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link