Home » » RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Written By CCMdijitali on Sunday, January 12, 2025 | January 12, 2025

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki maadhimisho ya kilele cha Miaka 61, ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Gombani, wilaya ya Chakechake, mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar leo tarehe 12 Januari, 2025.

Mgeni Rasmi wa maadhimisho hayo alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi.





Mgeni Rasmi wa maadhimisho hayo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi.






Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link