MWENYEKI WA UWT TAIFA AFANYA KIKAO NA WABUNGE WANAWAKE WA MAJIMBO
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) amefanya kikao maalum na Wabunge Wanawake wanaotokana Chama Cha Mapinduzi kwenye Majimbo Leo tarehe 07 Febuari, 2025 Dodoma.