RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KIKAZI BUMBULI,LUSHOTO MKOANI TANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Bumbuli, wilayani Lushoto katika muendelezo wa ziara yake mkoani Tanga 24 Feb, 2025