Home » » RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA SIMIYU

RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA SIMIYU

Written By CCMdijitali on Monday, June 16, 2025 | June 16, 2025

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025.




Muonekano wa Majengo ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu mara baada ya kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu, Bariadi mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akitembelea Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akizungumza mara baada ya kufungua Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025.





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akiwa kwenye picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025.

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link